wale wakali wa game ya muziki wa kizazi kipya jijini mwanza, the rock city empire! wakiwa shirikisha
Mo-music and Kino soo.wameachia kichupa cha ngoma yao inayo tamba hivi sasa ikijulikana kama parrty time(rock city antherm) humu ndani unakutana na vichwa kama Mo-music,tonito the
shynner,last born,kino soo na Dennis love.ngoma imefanyika chini ya producer mkali sana aendae kwa jina la Mbudu touchr ktika studio ya
RAV MEDIA! ebanaae fanya kudownload audio na vidio hapa
www.hulkshare.com/raceshynnerproduction
kino soo na tonito the shynner wakiwa katika pozz,
mo- muzic and shynner soon baada ya kutoka uganda kikazi!
mo music and shynner
Raceshynnerproduction pics@2013
www.hulkshare.com/raceshynnerproduction
No comments:
Post a Comment