hii ni baadhi ya segment ambayo imekua ikipondwa na wengi kutokana na kwamba mastaa wengi wa kike wa kibongo hupata umaarufu kwa muda mfupi ana na kisha hupotea,
Irene simbeye
Ni mwanadada mstaarabu,mwanaharakati,anaependa marafiki na mwenye ndoto za kuwa mmoja kati ya nguzo bora za wanawake katika ujenzi wa taifa.huyu hapa akifunguka....na RACESHYNNER PRODUCTION kuhusu mastaa wakike wa kibongo!
''wengi hulew sifa na wanakua hawajielewi,na hawako makini na kazi zao, lakini kuna wachache kanajua nini wanafanya mfano, JIDE NA SHAA!. nabaadhi ya wengine.so mimi kama mschana wa kibongo naekwenda na wakati nawashaouri wanaotaka kuuwa mastaa wa kike hapa kwetu, waeshimu kazizao kama wenzetu mfano,beyoncce na wengine kibao wa mbele ndo maana wanafanikiwa.TUBADILIKE "
No comments:
Post a Comment