Friday, August 23, 2013

Rock city inatisha kwa harakati ,unamjua ZERO!

                                                              raceshynner pics- zero
                                                         ZERO
rockcity imeonekana kua na vipaji hataari sana asa kwa upande wa HIPHOP,ambapo mapinduzi katika game yana fanyika kila siku,huyu anakwenda kwa tatoo ya Zero,ni mwana harakati wa mapinduzi ya HIPHOP katika jiji la mwanza , sasa yuko mbioni kukamilisha Mixtape yake,ambapo mtaa unaisubili kwa ham kubwa sana pamoja na wasanii wenzake! ndani ya mixtape hii kutakua na vichwa kibao vikali kutoka mwanza na Tanzania kwa ujumla, tuchake hulkshare upate kudownload buure kabisa ngoma za ZERO!

ZERO

No comments:

Post a Comment