mo muzic
MO MUZIC msanii amabae alikua kundi la wakubwa wa jiji,ameeleza kua yeye hayuko wakubwa wajiji tena na angependa aeleweke kwa mashabiki wake kwamba,han beef lolote n wakubwa wajiji ispokua ni kazi za muziki ndo humbadilihs msanii kutoka sehemu moja kwenda nyingine,msanii huyu ambae sasa anasemekana kua ndie msanii bora wa miondoko ya R&B kwa jiji la mwanza, ameonesha shauku yake ya kutaka kudhihilisha hilo kwa kujiandaa kuachia pini jipya ambalo limefanyika ndani ya K,RECORDS,chini ya producer hatariii LOLLY POP,litakalo achiwa ivi karibuni pini hili ni supriseeeeee!
RSP pics@2013
www.hulkshare.com/shynner-kudownload nyimbo za mo music!
No comments:
Post a Comment