Friday, August 23, 2013

Rock city inatisha kwa harakati ,unamjua ZERO!

                                                              raceshynner pics- zero
                                                         ZERO
rockcity imeonekana kua na vipaji hataari sana asa kwa upande wa HIPHOP,ambapo mapinduzi katika game yana fanyika kila siku,huyu anakwenda kwa tatoo ya Zero,ni mwana harakati wa mapinduzi ya HIPHOP katika jiji la mwanza , sasa yuko mbioni kukamilisha Mixtape yake,ambapo mtaa unaisubili kwa ham kubwa sana pamoja na wasanii wenzake! ndani ya mixtape hii kutakua na vichwa kibao vikali kutoka mwanza na Tanzania kwa ujumla, tuchake hulkshare upate kudownload buure kabisa ngoma za ZERO!

ZERO

unawajua wamiliki wa Raceshynner production? hawa hapa!

 ''tulianza kama utani lakini leo tunashukuru jina linakua,tunawatngaza wasanii chipukzi,mamodel,designers,wafanya biashara na wana hakati toautitofauti,pi tunaweka vituko kadha kwenye blogyetu ili watu waenjoy,ttunatoa matangazo kadhaa ila faid bado haijaonekana saana coz ndo kwanza tunaanza" liaema tonito the shynner(anthony bujukano) mmiliki mkuu wa RSP.

                                               RSP-MANAGER


                                                             RSP-ASSIS.MANAGER
             SHYNNER


 hivi karibuni utaweza kuuona uongozi mzima wa raceshynner production!
tutakuonesha cabinet zote na wakuu wakila idala,tutumie kazizako na pics kama msanii au mwanarakati,au mtu unaepend burudani nasi tutafanyia kazi
kupitia 0764388984! carlsonbuju@gmail.com

pata video na picha za chadema wakiwa katika maandamano ya kumkataa diwani jijini mwanza!


















hawa ni wafuasi wa chadema makipinga kuendelea kuwepo kwa meya,aliyevuliwa uanachama na kuamia chama cha mappinduzi,diwani  huyo wa ilemela aliye julukana kwa jina la matata,alikua na kibarua kizito ambapo wafuasi hawa wali
mtaka ajiuzulu kwani hawamtambui!

tazama wazee hawa wanavyo yarudi!

cheka ongeza siku na raceshynner production!

chek video ya ugomvi wa paka na nyoka hapa!

ulishawahi kujiuliza kuhusu,paka na panya,paka na mbwa ila hukuwahi kufikili kuhusu paka na nyoka majibu yako hapa.nsikuchoshe jionee mwenyewe!

Friday, August 16, 2013

Hatma ya Bifu ya Mo-muzic na WAkubwa wa jiji hiyahapa!

                                                          mo muzic

MO MUZIC msanii amabae alikua kundi la wakubwa wa jiji,ameeleza kua yeye hayuko wakubwa wajiji tena na angependa aeleweke kwa mashabiki wake kwamba,han beef lolote n wakubwa wajiji ispokua ni kazi za muziki ndo humbadilihs msanii kutoka sehemu moja kwenda nyingine,msanii huyu ambae sasa anasemekana kua ndie msanii bora wa miondoko ya R&B kwa jiji la mwanza, ameonesha shauku yake ya kutaka kudhihilisha hilo kwa kujiandaa kuachia pini jipya ambalo limefanyika ndani ya K,RECORDS,chini ya producer hatariii LOLLY POP,litakalo achiwa ivi karibuni pini hili ni supriseeeeee!
 RSP pics@2013
www.hulkshare.com/shynner-kudownload nyimbo za mo music!

MB Mwingine huyu hapa!

ni mmoja kati ya wasanii wakali sana wa hiphop hapa Tanzania hasa katika mkoa wa mwanza, ni msanii mwenye malengo kwani anataka uifikisha game ya muziki wa bongo mbali sana, data ameweza kufanya kazi kadhaa ikiwemo
  • unapenda ninni-mo records-q the don (producer)
  • HOLIDAY FEAT.SHYNNER NA SPIDERMAN(E PRODUCTION)
  • BIZZ KAMA STAR FEAT,SHYNNER(VUNJA RECORDS) DABLE K PRODUCER
pamoja na ngoma nyingine kibao kali sana! sasa yuko kwenye haraakati ya kufungua studio yake mwenyewe ... hakika ni mwanzo mzuri kwa mwanamuziki mgeni katika game
 free kupata ngoma za MB man( Data  ) DOWNLOAD free MP3                              www.hulkshare.com/raceshynnerproduction


                           Mb man (Data)na shynner katika pozz mapema mwaka huu!

                                                               MB MAN
RSP pics@2013
www.hulkshare.com/raceshynnerproduction

the rock city antherm!

wale wakali wa game ya muziki wa kizazi kipya jijini mwanza, the rock city empire! wakiwa shirikisha Mo-music and Kino soo.wameachia kichupa cha ngoma yao inayo tamba hivi sasa ikijulikana kama parrty time(rock city antherm) humu ndani unakutana na vichwa kama Mo-music,tonito the shynner,last born,kino soo na Dennis love.ngoma imefanyika chini ya producer mkali sana aendae kwa jina la Mbudu touchr ktika studio ya RAV MEDIA! ebanaae  fanya kudownload audio na vidio hapa
 www.hulkshare.com/raceshynnerproduction
                                        kino soo na tonito the shynner wakiwa katika pozz,

                          mo- muzic and shynner soon baada ya kutoka uganda kikazi!

                                                         mo music and shynner

Raceshynnerproduction pics@2013
www.hulkshare.com/raceshynnerproduction

Vaa,pendeza,ndo habari ya town! kwamapacha classic tena!



 









the swaggalist boys! kwamapacha classic wamedondosha kwenu tena mzigo mpya kutoka pande zote za dunia, ni jeans,t-shirts,vest,belts,snapbacks,shati,suruali muchimuchi! mabegi yenye high quality,conves,adidas,polo,hermes ahhhhhh ntamaliza utamu namaanisha ni viatu aina zote. wanapatikana mtaa wa shinyanga hotel Rumumba,jijini mwanza.pia darajani balabala yakwenda dampo, utapata mzigo wotw wa jumla na lejaleja ebanaee vaa pendeza,
kwa mawasiliano zaidi piga simu namba:
0714500826
0764388984
kwamapacha classic, for all stars in town!



 kwa mitoko ya kiutuuzima!

                  


 

timber,
all stars,
polo,
dickers,
docks,
travoltas,
simples
snekers
arforce
vans
toms
na viatu kibaaao!


sharts za aina zote
t-shirts
kofia
mikanda
wallets
blasss
neckless
vikoti
masweta
jeans kama liu,gucci,hermes pais
,disquared, old skuls,new erra, new fashion,n.k



@raceshynner production pics

mastaa wakike wa bongo wachafua hali ya hewa!

hii ni baadhi ya segment ambayo imekua ikipondwa na wengi kutokana na kwamba mastaa wengi wa kike wa kibongo hupata umaarufu kwa  muda mfupi ana na kisha hupotea,


Irene simbeye
Ni mwanadada mstaarabu,mwanaharakati,anaependa marafiki na mwenye ndoto za kuwa mmoja kati ya nguzo bora za wanawake katika ujenzi wa taifa.huyu hapa akifunguka....na RACESHYNNER PRODUCTION kuhusu mastaa wakike wa kibongo!
''wengi hulew sifa na wanakua hawajielewi,na hawako makini na kazi zao, lakini kuna wachache kanajua nini wanafanya mfano, JIDE NA SHAA!. nabaadhi ya wengine.so mimi kama mschana wa kibongo naekwenda na wakati nawashaouri wanaotaka kuuwa mastaa wa kike hapa kwetu, waeshimu kazizao kama wenzetu  mfano,beyoncce na wengine kibao wa mbele ndo maana wanafanikiwa.TUBADILIKE "

Wednesday, August 14, 2013

XTRAORDINARY BOOOY!

huyu nni moja kati ya wasanii wa Tanzania anaekuja kwa kasi  sana, x-boy akitamba na ngoma zake kadhaa ikiwemo I WANNA GET MONEY,NA TOM BOY, anaiwakilisha vyema sanaa ya muziki wakizazi kipya kwa muziki wenye swaggs za kutosha.msanii huyu mwenye makazi yake jijini DSM amefunguka na Raceshynner production akizungumzia ngoma yake mpya ambapo ataito hivi karibuni, he is hot.....! fanya kupakua mzigo huu ili ujue anacho fanya huyu jamaaa

DOWNLOAD! FREE!    www.hulkshare.com/raceshynnerproduction

 mmetoa maachooo,ex-boy akiwa na msanii mwenzake katika harakati za kurekodi.jina kapuni simtaji!



 x-boy pamoja na kim wakisubili kupanda on stage katika moja ya tamasha hapa bongo!
 
 x bizzy akiwa katika snap shorts mbili tatu pande za soweto south Afrika mapema mwaka huu


 extraordinary boys, hapa x-bizzy akiwa na mpacha kim pamoja na wana wengine kibao katika snap!

www.hulkshare.com/raceshynnerproduction

paserepa town


wale wakali wa miondoko ya kizazi kipya kutoka pande za kijanja za Rock city town,pasiansi hawa hapa ten ana ngoma yao kali kabisa inayoena kwa jina la PASEREPA TOWN, kisiwa cha burudani.humu utakutana na wakali kama JUSTO,LOGIC,DIZZLE,D-SATO, na K-STAR.... ebaneeeh mzigo! umefanyika ndani ya studio za K-records chini ya producr matata sana hapa nchii Tanzania si mwingine namzungumzia LOLLIPOP aka LOLLY MWAH!  
CLICK HAPA: kisha andika paserepa town ku.. 

download !
www.hulkshare.com/raceshynnerproduction


 

I'm listening to Raceshynnerproduction @Hulkshare:

I'm listening to Raceshynnerproduction @Hulkshare: