Friday, September 27, 2013

C Pwaa andani ya chereko na cross border therapy!

raceshynner production

msanii anaeiwakilisha vyema sanaa ya muziki wa bongo crank,C.Pwaa akitamba na  ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la chereko , pia mwakani anatarajia kuachia ngoma inayokwenda kwa jina la Cross border therapy akiwashirikisha wasanii kutoka magharibi na kusini mwa afrika ambao ni.HHP-SOUTH AFTRICA na D-BLACK wa Ghana huyu hapa!


kudownload mp3 free!
www.hulkshare.com/raceshynnerproduction

2 comments:

  1. the guy is hot,we keep on waiting!

    ReplyDelete
  2. hit song kali sana, shukran kwa raceshynner production kwa kutudondoshea news kwa wakati....

    ReplyDelete