raceshynner production
msanii anaeiwakilisha vyema sanaa ya muziki wa bongo crank,C.Pwaa akitamba na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la chereko , pia mwakani anatarajia kuachia ngoma inayokwenda kwa jina la Cross border therapy akiwashirikisha wasanii kutoka magharibi na kusini mwa afrika ambao ni.HHP-SOUTH AFTRICA na D-BLACK wa Ghana huyu hapa!
kudownload mp3 free!
www.hulkshare.com/raceshynnerproduction
the guy is hot,we keep on waiting!
ReplyDeletehit song kali sana, shukran kwa raceshynner production kwa kutudondoshea news kwa wakati....
ReplyDelete