Friday, September 27, 2013

C Pwaa andani ya chereko na cross border therapy!

raceshynner production

msanii anaeiwakilisha vyema sanaa ya muziki wa bongo crank,C.Pwaa akitamba na  ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la chereko , pia mwakani anatarajia kuachia ngoma inayokwenda kwa jina la Cross border therapy akiwashirikisha wasanii kutoka magharibi na kusini mwa afrika ambao ni.HHP-SOUTH AFTRICA na D-BLACK wa Ghana huyu hapa!


kudownload mp3 free!
www.hulkshare.com/raceshynnerproduction

Monday, September 23, 2013

Dom town kwawaka moto,D-Pema VsTherapist! new Stars in the Game.wamekinukisha hapa,Dom town sand up!

raceshynner production Presents


d-pema


d-pema ni MC kutoka studio za AJ records anaetmba kwa ngoma kadhaa za harakati ikiwemo "love",na nyingne kibao amaeamua kufunguka kuhusu game yake sasa kua yuk serious na wakongwe wajipange kumuachia nafsi hususan kwa wasanii wa dom town


dowload mp3 free!
www.hulkshae.com/raceshynnerproduction


Therapist

Ni dom  town rapper,kutoka studi zaGRORY RECORDS, anaeiwakiisha vyema sanaa ya hip o musicc,so dom kama wajipange hivi coz huyu jamaa yuko hot mbaya.fanya kudownload ndoma yake free kupitia
dowload mp3 free!
www.hulkshae.com/raceshynnerproduction

Mshindi wa Redd's Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa!



 Mshindi wa Redd's Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa,katikati akipungia mkono hadhira iliyo hudhuria,  mara baada ya kutangazwa mshindi huku kushoto ni pili Latifah Mohamed na kulia ni mshindi wa tatu Clara Bayo.



 happiness,aliweza pia kuibuka mshindi wa miss photogenic katiya mataji matano madogo yaliyoshindaniawa raundi hii!

                                                          lady jide akifanya yake

                                                      
                                                                  dah
                           mamiss watano katika vipaji maalum,kama miss personality,photognic n.k
                                                                   gari ya mshindi
                                                              

                                                  mamiss wakicheza

Friday, September 20, 2013

Mensen selekta amuachia Bonz! its after paper

shynner45@gmail.com
ni kijana mpya anaekuj katika game,kutoka studi za defetality,chini ya producer wake mkali.Mensen Selekta .msanii huyu (BONZ)anatalajia kuachia ngoma yake september hii mwishoni,inayoenda kawa jina la after paper, fanya kutembelea www.hulkshare/raceshynnerproduction.kudownload mzigo huu!
kijana huyu ni mbayaaaaa!mastaa wakae mkao wa kustaaf!
raceshynnerpoduction.blogspot.con

Wednesday, September 18, 2013

shynner aachia mix tape ! vol 1

raceshynner pics

pata mix tape ya tonito the shynner buure kupitia link yetu ya www.hulkshare.com/raceshynnerproduction amabapo umo ndani utakutana na ngoma kadhaa hatarii kasa za radha aina zote ! shynne ambae kwa sasa ameamua kusuuma mziki wake kupitia matandao ametoa mix tape hi enye ngoma kumi kama zawadi kwa ashabiki wak, sasa time ndo hii,,fanya u download now!


Saturday, September 14, 2013

J Criss,Davin P &Benai ndani ya SIKUONI! its hoooot!

raceshynner

J Criss,Davin P &Benai,wakali wa miondoko ya kizazi kipya hapa Bongo wakitamba na goma zao kadhaa lakini sasa wakijumuikanndani ya track moko iitwayo Sikuoni,mkono hatari kabisa ukiwa na radha adimu ya muziki wa hapa nyumbani hawahapa.

J Criss in Rock city
Davin P
free mp3download!
www.hulkshare.com/raceshynnerproduction
Raceshynner pics@2013

wait for Mo-muzic once again! in Basi nenda

yule kijana hatari kwenye miondiko ya muziki wa kizazi kipya hapa nchini,Mo-Music, ndanni ya mwezi huu anatarajia kuachia ngoma yake mpya kabisa inayoenda kwa jina la Basi nenda.hebu fanya kuidownload kupitiaa
www.hulkshare.com/raceshynnerproduction
mo music in cape town!
mo music in Rock city

mo music in ustake kujua!

Raceshynner pics!

T nock-Nionyeshe Njia



raceshynner production inamdondoshakwenu tena,yule mkaliwa R&B Tanzania ....T-NOCK katika ngoma yake mpya iitwayo NIONESHE NJIA mzigo huu hapa fanya kuushusha kisha uone nacho zungumzia!